Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2014

Jaguar Alipokuja TZ na Air Jaguar Kwa ajili ya Promo ya Wimbo wake mpya "Kioo"

Jaguar msanii wa Kenya anatajwa kama masanii mwenye mafanikio kwenye muziki na kwenye biashara binafsi. Jaguar pamoja na team yake walikuja Dar kwa ajili ya promotion ya wimbo wake mpya “Kioo”. Unaambiwa kutoka Kenya kuja Tanzania msanii huyu hakupanda ndege za kawaida bali alikuja na ndege yake binafsi ambayo imeandikwa Air Jaguar.